Sh 20,000
Mwandishi: Ben Mtobwa
Synopsis:
Alielezwa kuwa mlengwa wake atakuwa amevaa suruali nyeusi ya kitambaa, yenye rangi nyeusi na koti la rangi ileile, juu ya shati lenye rangi ya bendera ya taifa. Atatoka nje ya mlango wa hoteli saa nne na robo, akiwa katikati. Rais wa nchi kulia kwake na mgeni wake, bilionea wa viwanda na machimbo ya madini, upande wa pili. Pale mlangoni watasita kidogo kuagana, kabla ya kuelekea kwenye hafla maalumu. Akatakiwa ammalize akiwa palepale mlangoni.
Nani mwajiri wake aliyeidhinisha kifo cha msichana huyo mpole, asiye na madhara? Ni nani mkatili huyu, na liwezaje kuwa na hakika ya muda na mavazi atakayovaa siku ya kifo chake!?
TZS
Description
SKU: 9789987084425
Publisher: Mkuki na Nyota