Sh 20,000

Mwandishi: A.E. Musiba

Synopsis: 

Nyaraka za siri zimeibiwa kutoka ofisi moja ya wapigania uhuru jijini Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania inaingiwa na hofu kuwa nyaraka hizo zitaishia mikononi mwa adui na kuhatarisha maisha ya watu wengi wasio na hatia.

Kutokana na ishara maalumu inasadikiwa kuwa majasusi hao wamekimbilia jijini Nairobi. Mpelelezi nguli, Willy Gamba, anapewa kazi ya kuwatafuta popote walipo, kwa gharama yoyote na kuwapokonya nyaraka hizo. Kazi hiyo lazima ifanyike haraka kabla hawajaziuza kwa adui.

Muda unazidi kwenda na mapambano ya kuwasaka majasusi hao yanazidi kuwa makali na hakuna huruma. Pande zote zinapoteza watu muhimu. Wapelelezi, majasusi na raia wengine wasio na hatia wanauwawa.

Wakati wote huo Willy Gamba anaendelea na upelelezi wake mgumu na ndipo anapokutana na mrembo Lina. Lakini mrembo huyu yuko upande gani? Na Lulu je? Je Chifu yupo sahihi anapomwonya Willy Gamba asimwamini mwanamke yeyote mrembo?

Willy Gamba na wenzake wanabanwa vilivyo lakini hawana ruhusa ya kushindwa. Maisha ya wengi yanawategemea. Ni mapambano ya kufa na kupona, lakini wanawashindaje maadui wakali kama hawa?

TZS
  • TZS
  • USD
  • GBP

Description
ISBN 9789987083138
Pages 118
Dimensions 198 x 129mm
Published 2018
Publisher Mkuki na Nyota Publishers, Tanzania
Format Paperback

Privacy Preference Center

15
    15
    Your Cart
    Remove
    Live in Grace, Walk in Love (Hardback)
    1 X Sh 53,000 = Sh 53,000
    Remove
    Remove
    Boris Johnson (Hardback)
    1 X Sh 82,000 = Sh 82,000
    Remove
    The Judge's List (Paperback)
    1 X Sh 33,000 = Sh 33,000
    Remove
    All Your Perfects (Paperback)
    1 X Sh 33,000 = Sh 33,000
    Remove
    Youthquake (Paperback)
    1 X Sh 39,000 = Sh 39,000
    Remove
    Let Love Have the Last Word (Paperback)
    1 X Sh 40,000 = Sh 40,000
    Remove
    Mikataba Ya Kishetani
    1 X Sh 20,000 = Sh 20,000
    Remove
    Ninth House (Paperback)
    1 X Sh 27,000 = Sh 27,000
    Remove
    Atomic Habits (Paperback) (UK Version)
    1 X Sh 65,000 = Sh 65,000
    Remove
    Finding Perfect (Paperback)
    1 X Sh 33,000 = Sh 33,000
    Remove
    Uchu
    1 X Sh 25,000 = Sh 25,000